Peponi by Abdulrazak Gurnah
By Abdulrazak GurnahMzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla akiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Haimjii hata kwa sekunde moja, kwamba atakuwa mbali na wazazi wake kwa muda mrefu, na wala hafikirii kuuliza atarudi lini au kwa nini safari iliandaliwa kwa ghafla kiasi kile. Yusuf anaamini kuwa anamsindikiza Ami Aziz lakini ukweli ni kwamba 'ami' yake ni Mfanyabiashara, tena tajiri mkubwa, na Yusuf amewekwa rehani ili kulipia madeni ya baba yake.
Yusuf anajikuta anasafiri katika miji na vitongoji vingi vingine ambako anakutana na watu wa kila namna. Anabalehe na kukua kwenye dunia inayobadilika kwa kasi kutokana na kuingia kwa ukoloni na udhalimu wake na jamii kuharibika kwa kuvurugwa kwa utamaduni wake.
Hii ni tafsiri ya kwanza kwa riwaya za Abdulrazak Gurnah katika lugha ya Kiafrika.
Abdulrazak Gurnah ni mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi ya mwaka 2021. Ameandika riwaya kumi ikiwemo hii ya paradise. Gurnah ni Profesa wa Masomo ya Kiingereza na Fasihi za Kikoloni katika Chuo Kikuu cha Kent.
Dkt. Ida Hadjivayanis ni Mhadhiri Mwandamizi wa Masomo ya Kiswahili SOAS, Chuo kikuu cha London. Ametafsiri riwaya kadhaa kwa Kiswahili na Kiingereza.
Peponi by Abdulrazak Gurnah
Peponi by Abdulrazak Gurnah Peponi by Abdulrazak Gurnah price in nairobi kenya Peponi by Abdulrazak Gurnah Peponi by Abdulrazak Gurnah pdf Peponi by Abdulrazak Gurnah summary Peponi by Abdulrazak Gurnah edition Peponi by Abdulrazak Gurnah review Peponi by Abdulrazak GurnahPeponi by Abdulrazak Gurnah
Book details
- Paperback
- 262 pages
- English
- 9987449867
- 9789987449866
About Abdulrazak Gurnah
abdulrazak gurnah was born in 1948 in zanzibar and lives in england, where he teaches at the university of kent. he is the author of seven novels, which in Read More about Abdulrazak Gurnah
More Books By Abdulrazak Gurnah
People who bought this also bought
Elders on Love: Dialogues on the Consciousness, Cultivation, and Expression of Love
Used Book
Blood and Money: The Classic True Story of Murder, Passion, and Power
Used Book
The Joy of Healthy Grilling: Keeping the Fat Low and the Flavor High
Used Book
Quiet Power : Growing Up as an Introvert in a World That Can't Stop Talking
New Book
Toxicology for the Next Millennium (Annals of the New York Academy of Sciences)
Used Book
Rockin' in Time: A Social History of Rock-and-roll
Used Book
Surrounded by Narcissists : Or, How to Stop Other People's Egos Ruining Your Life
New Book
The Toyota Way to Service Excellence: Lean Transformation in Service Organizations book By Jeffrey K. Liker Karyn Ross
New Book
Be Wise: 1 Corinthians: Discern the Difference Between Man's Knowledge and God's Wisdom
Used Book
The Fox That Got away : The Last Days of the Zanuck Dynasty at Twentieth Century-Fox
Used Book
HBR's 10 Must Reads on Managing People, Vol. 2 (with bonus article ?The Feedback Fallacy? by Marcus Buckingham and Ashley Goodall)
New Book
No Surrender: A Father, a Son, and an Extraordinary Act of Heroism That Continues to Live on Today
Used Book
A Bibliography of Printed Battle Plans of the American Revolution, 1775-1795
Used Book